Tuesday, May 6, 2008

Leo ninae mwanadada Fina Mango!

Mhhh,kwani nimebisha Fina?Sijabisha.
Hapo juu akiwa kwenye poziiii.
Kp na Fina. Jamani leo ninae mwanadada mrembo Fina Mango si mgeni masikioni mwa watu,Ni mtangazaji wa clouds Fm, awapo mzigo na mwenzie Kp unatamani usitoke mpk kipendi kiishe,ni wacheshi sana,Angalia fashion yake ya dreads za nywele nimezipenda sana ni ndefu usipe,na pozi zake za kufa mtu.


1 comment:

Amby said...

Napenda sauti ya huyu dada sana tena wakiwa na Kp ndio usiseme,Asante kwa kutuwekea picha yake nilikuwa simjui na msikia tu.