Wednesday, June 18, 2008

HIVI NI KWELI?

Hivi ni kweli huyu Emmy amependelewa?Mimi kama mimi wa Ukweli kabla hata ya mashindano nilikuwa namkubali kwa jinsi alivyokuwa anajituma ata kama asingeshinda yeye yuko juu kuliko wenzie,Wote walikuwa wazuri sikatai ila lazima mtu mmoja awe juu kuliko wote,Leo hii watu wanasema ndugu yake na Nancy,Ohh amependelewa,Siku zote asiyekubali mshindi sio mshindani.Habari ndio hiyo.

3 comments:

Anonymous said...

kweli kapendelewa..na wewe unamsurport..inaonekana umechukua rushwa kumpigia debe nini? tumekushutkia wa ukweli au ndio katika jopo la mafisadi wewe nini?kupigiana debe--anyway hiyo ndi ngoma za asharafu kupigiana chapuo nimekushtukia...kashinda sawa..sasa tutafanya nini na hongo imetumika?
mkereketwa

waukweli said...

Siku zote asiyekubali kushindwa si mshindani,Mimi kama mimi narudia tena nilikuwa namkubali sana Emmy ata kama asingeshinda ningebaki kumkubali,Hakuna rushwa pale ni kujitupa kwa kwenda mbele,lazima niseme ukweli Emmy yuko juu bwana.Mashindano yameisha kwa Tz kilichobaki ni kumuombea azidi kuwa juu kwenye mashindano yatakayoendelea uko aliko.Mungu Ibariki Tz,Mungu mbariki Emmy.

Matty said...

Mkereketwa kweli unakereketwa sasa wewe ulitaka ashinde nani???
Mimi nasema hajapendelewa, she deserve to be kisura then what next?Tatizo lenu waswahili hamna wema hata angeshinda mmasai mngesema sasa majaji washaamua utabaki na labda!habari ndo hiyo!
usiminye haya maoni waukweli nataka ujumbe umfikie mkereketwa hapo juu.