Thursday, June 12, 2008

NTAKUKUMBUKA SIKU ZOTE DAIMA.

Akiwa na tabasamu baada ya kupewa tuzo ya mtangazaji bora wa kike nchini Tz.
Alipokuwa kwenye harusi ya Jay dee,pembeni mwana FA
Akiwa na mumewe Medy kwenye sherehe ya mtangazaji bora. Mimi kama mimi wa Ukweli dada Amina ndiye alikuwa Modo wangu,Sitokaa nimsahau daima,Alikuwa ni m2 mwenye Hekima,Mcheshi kwa kila m2,si mdogo wala mkubwa alikuwa habagui,Na isitoshe alikuwa mpenda maendeleo katika nchi yetu.Naamini Kimwili haupo nasi bali Kiroho upo nasi siku zote.Ipo siku tutakutana juu mbingu.Nazidi kukuombea.Pumzika kwa Amani.

Akiwa kwenye pozi lake la kutaka kuingia Bungeni.

4 comments:

Matty said...

RIP AMINA, my God Matilda jamani umenitonesha kidonda yaani kifo cha huyu dada kiliniuma mno masikini, da no way na sisi tutaenda tu lakini bwana aliliza wengi maana wengi tulikuwa tunampenda mimi binafsi sikuwahi kujuana nae ila nilikuwa namuona dada asiye na maringo nk.
May her soul stay in eternal place amen.

Anonymous said...

yeah i miss her too, sana tu i remember she was good in encouraging people we will always miss her nd love her.

matilda sikujua kuwa na wewe unavuma since whenumeanza udaku binti sahare! anyways nilisahau kuwa ulianza tangu shule
guess who!

Waukweli said...

Jamani siwezi ku guess plse kama hautojali niambie tu,au nitumie sms kwenye mail yangu,cool_matilda@yahoo.com.

Nimekumiss na nakupenda sana.
Umenikumbusha mbali ile mbaya.

Anonymous said...

kwani matilda ulisoma sahare?mwaka gani?