Saturday, June 7, 2008

SI HARUSI TU YA KIHASILI HATA.....
Si mavazi tu yakihasili hata nyumba na mazingira yake.Tudumishe mila na desturi za kiafrica.

4 comments:

Anonymous said...

hiyo show ya mavazi ya harusi lazima tutinge!!!duh!!! waukweli
upo juu..
itz me jichanganye,web master

Matty said...

heeeeeeeee waukweli mamy wajina wangu jamani ni wewe hapo umevaa suti au??mamy umependeza mno you look fab!kazi nzuri mungu akubariki sana.

Joseph Shaluwa said...

nimekoma na hiyo suti yako mama! wewe ni noma. ni mimi kaka yako shaluwa. usishangae hilo jina la juu ni la shu;eni hilo mama. hivi unamtembelea braza tk au umemsusa? ni vizuri kama utajibu peupeeeee

waukweli said...

Mambo niaje Brother Shaluwa?Dah umepotea sana,Yap kama kawa huwa nikipata mda lazima niwatembele wote,Tk ni m2 wangu wa karibu sana,isitoshe ndio ananipa tafu kwenye hii blog siwezi kumtupa hata iweje.Habari ndio hiyo.