Sunday, June 1, 2008

MUSTAFA HASSANALI

Naomba kuwasilisha kama ifuatavyo,Kuna mdau wangu kaniaomba nimuwekee kazi ya Mustafa Hassanali na ma modo,hizo ni baadhi tu ya kazi zake,Mdau J.J popote pale ulipo kazi kwako.

2 comments:

Anonymous said...

hawa walipendeza sana, inaelekea hassanali ni mtaalam tanzania nzima kwa mitindo eh? asante sana wa ukweli kwa kutuwekea post hii..

mumyhery said...

nguo ni nzuri mno, waukweli kaza buti tuletee mambo mazuri mazuri kama haya