Friday, May 30, 2008

Kofia inakufanya uwe mrembo sana!
Hapo vipi mdau? Ni kupendeza kwa kwenda mbele!.Check fashion nenda ukapendeze na wewe.

3 comments:

Anonymous said...

Mai hapo amependeza sana,mmh tutaendaga kushona waukweli,tupetupe mambo hayo.

Anonymous said...

mmmhh maimartha kwa mkorogo nae!!!
anatishaaa

Anonymous said...

huyu maimatha anachukiza kwa mkorogo;utadhani pinokyo?kama ndio fashion basi bora ndorobo wanavutia;acheni mikorogo hiyo mnajitafutia cancer za ngozi nyie wadada;black natural is beautifull;wenzenu wazungu ukiwa kama mpingo ndio wanakupa chati;sio mirangi rangi kama jengo la yanga africa jangwani;acheni hizo maimartha unatia kichefuchefu;hupendezi uongo mbaya
mwana blogi msema kweli