Wednesday, June 25, 2008

MASOUD KIPANYA YUKO JUU!

Sina budi kumsifia na kumpa hongera zake kijana mchakarikaji Masoud Kipanya kwa kutuletea pamba za kufa m2 pale Dukani kwake Millenium Tower Kijitonyama,Me sina mengi ila mcheki mwenyewe kwenye website yake ya http://www.kpwear.com/ na utayakubali maneno yangu,Usikose kumtembelea dukani kwake na kuchukua pamba uende ukapendeze.

1 comment:

Anonymous said...

Nimenunua nguo zake ni nzuiri kwakweli,Ila bei bado iko juu sana