Thursday, June 26, 2008

UMETIMIZA MWAKA SASA!!

leo tarehe 26/5/2008,Ametimiza mwaka mmoja sasa Mh Amina Chifupa toka afariki dunia.Waukweli na wadau wote wanaungana na familia ya Mzee Chifupa kumkumbuka na kufanya mazuri yote aliye tuachia enzi za uhai wake,R.I.P Amina Chifupa.

2 comments:

Matty said...

RIP AMINA...ulitoka kipindi ambacho ulikuwa changamoto kwa vijana ambapo ulionesha matumaini mno katika kukomboa vijana.
Bwana alitoa na sasa ametwaa jina la bwana libarikiwe!

mumyhery said...

R.I.P Amina