Tuesday, July 29, 2008

MSIMU WA MA MISS TZ 2008!!
HAYA SASA MSIMU WA MA MISS NDIO HUU,KILA MTU ANATAMBA KUWA ATAKUWA MISS TANZANIA 2008, NA MSHINDI ANATAKIWA MMOJA TU ILI AENDE AKASHIRIKI NA WENZIE DUNIANI KOTE NA AIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA IPASAVYO, KAMATI YA MISS TANZANIA CHONDE CHONDE TUNAWAOMBA SANA MCHAGUE MISS ANAYE FAA NA ATAKAE TULETEA USHINDI NYUMBANI,TUMECHOKA KUSINDIKIZA .
NAWAAMINI SANA MAJAJI WA MWAKA HUU NAWAAMINI PIA ,KAMATI YA MISS TANZANIA MWAKA HUU NAAMINI HAMTOKOSEA KUMPATA MISS ATAKAE TULETEA USHINDI NYUMBANI.KAZI KWENU.

No comments: