Thursday, July 24, 2008

VIVAZI HIVI BWANA!!!.

mmh!
Apo vipi?

Ehe warembo mpo?
wakina dada wapendwa nimeweka hizi pic muone jinsi gani wenzetu ma mtoni wanavyovaalia vivazi hivi na kupendeza .Nimeona wasanii na ma miss kadhaa bongo wakiwa wametinga style hii.Swali linakuja je wanatinga kama inavyotakiwa au ndio hivyo tena ili mradi?.Pendeza sasa.

3 comments:

Matty said...

heeee Makubwa haya sasa!!kwa wenzetu hamna anayeshangaaa hiyo kata kundu style ila kibongobongo no no no it works vise versa!
Kuna sehemu niliona mrembo Nora nae alijiachia kama hao pichani lol! it was shame!

Anonymous said...

Wee ndugu kwa kusema hivyo ndo unataka nasisi tutembee kama hao ama?????????????????? hio sio promosheni nzuri kama ni mshamba utanisamehe lkn si utamaduni wetu na naomba dada zangu hapo sio pa kukopi, nora alidai hakujua kama anamwaga radha, ukweli anajua mwenyewe.

Anonymous said...

umesahau kumuweka norah kwenye hiyo list