Monday, July 21, 2008
Kuna fashion nyingi sana za nywele na zinazo mpendezesha m2 kwa jinsi alivyo.Ila hizo style nilizo wahekeeni hapa leo,ziko juu sana kwa mwaka huu na bado zinazidi kutesa katika ulimwengu huu wa sasa.Kuwa mjanja weka na wewe upendeze.

Wakina dada wa kitanzania 2siwe nyuma na mitindo kama hii.kazi kwenu.
1 comment:

Matty said...

yuk yuk yuk bravo that is wat i like!!!tupe vitu mama wenye vijiba vya roho wameze wembe!