Saturday, July 19, 2008

WAPENDWA WADAU WANGU

NAOMBENI MNISAMEHE KWA KUA KIMYA KWA MUDA .NILIKUWA NIMEFIWA .SASA NIMERUDI NAWAHAIDI KUWAPA VITU MOTOMOTO KATIKA BLOG HII YA MAJAMBOZZ.
WAUKWELI.

2 comments:

mumyhery said...

pole kwa msiba

Matty said...

pole sana my dear mungu akupe uvumilivu!MUNGU AMLAZE PEPONI ALIYETANGULIA THOUGH HUJADFAFANUA!