Friday, July 11, 2008

PASSION 4FASHION TZ.

NI DUKA LINALOUZA PAMBA ZINAZOENDA NA WAKATI LIPO SINZA MADUKANI KARIBU NA KITUO CHA DALADALA,KAMA MKAZI WA JIJINI BONGO KWA NIN USIENDE UNASUBIRI NINI.KARIBU UJIONEE VITU ADIMU KABISA VYA MWAKA .NENDA SASA .NYOTE MNAKARIBISHWA.


6 comments:

Matty said...

hey Gal! nimependa sana hiyo blause ya brown na kaptula chini hapo...zipo bomba ile mbaya!
Asfi sana!

poziiii said...

mimi naona kama umeishiwa dada yangu post wiki mzima?looooooooo unatuchosha

mdada said...

fungu blog yako bwana unatuboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Mmmh ni kweli nampa big up huyo dada pamba zao zimetulia ni za UK kweli original mimi nimchaguzi sana wa vitu hasa kwa upande wa mavazi napenda nikinunua kitu kiwe original sijali bei najali thamani ya kitu nimesha nunua gauni na top hapo dukani kwake nguo zake nzuri sana hata viatu navyo ni vizuri sana. Ila kwaushauri wa bure kwa huyo dada mwambie ajitangaze zaidi watu wengi watapenda vitu vyake siokama wengine hapa bongo majina makubwa wanajitangaza kwa nguvu ni USA na UK ukienda vitu vyao unakuta feki ni copy yametoka kwa machinga wa china lol...wabongo!

Kimambo said...

wewe unayejiita mdada uko nyuma sana kimaendeleo unaona waukweli anatoka thn ni mdada mdogo basi wivu umekukaa rohoni acha wivu mwanamke,mbona wapo watu wengi sana wana weka pic au kazi zao kwa mwezi mara moja kwani huwaoni.fungua ya kwako kama unaona ni kazi rahisi.mwanamke na maendeleo na kila mtu ana maamuzi yake mwenyewe.Na unavyoonekana una roho mbaya sana hata kwa jamii inayokuzunguka.habari ndio hiyo wewe mdada.

Matty said...

Hey Mdada be urself...umeitwa hapa?? afunge blog ili iweje??
napenda visukusuku kama nyie kazi kupinga maendeleo ya watu kila kukicha, usione mtu anafanya yake basi roho ya korosho ishakupata mtoto wa kike, ni blog gani ambayo haina kasoro???wangapi wanaweka picha inakaa mpaka miezi na still wanakubalika ktk jamii kama hupendi kutembelea hapa dada kaa kando!
Na wewe pia Pozziii post wk nzima inategemea na shughuli za mtu mbona mnataka kumuingilia Personal decision zake???
WAUKWELI fanya yako mama usiangalie nyuma daima ni mbele na Mungu atakuzidishia.