Saturday, July 5, 2008

CHOMBEZA! CHOMBEZA TIME!

NIMEKUJA KUCHUNGULIA KIDOGO NA KUMPA HONGERA ZAKE TK KWA KUTOA TENA KITABU CHA MALOVEDAVE KINACHOENDA KWA JINA LA CHOMBEZA TIME. wadau wangu kama mnakumbuka miezi michache nilitoa kijalida cha mahaba kilichokwenda kwa jina la Chombeza Time (Ujumbe wa Mahaba) nawashukuru kwa kuniunga mkono na kukinunua na sasa naleta kwene mfululizo wa kijarida hiki kinachokwenda kwa jina lile lile la Chombeza Time kikiwa kimesheheni mada kali za mahaba na meseji zenye hisia kali za mapenzi zaidi ya 500 ili kukuiwezesha wewe msomaji wangu kupata kitu roho inapenda kokote uendako!!Kitabu hiki kitauingia sokoni hivi karibuni kaa tayari kupokea mambo matamu ya mahaba labda nikumegee siri moja tu kuwa ndani ya kitabu hiki hakuna kuficha nimeweka wazi kila kitu nikiwa na imani wakubwa wenzangu tu ndio watakinunua lakini kama mtoto atakinunua itakuwa bahati mbaya kwani sikuwalenga wao!!Si kitabu cha kukosa kitakuwa mitaani mwezi huu!Tk
HAYO NI MANENO YA KIJANA MTANASHATI NA MCHAKARIKAJI WA MAISHA SI MWINGINE BALI NI TULIZO (TK) NAMPONGEZA KWA KAZI YAKE NZURI ANAYOIFANYA KUELIMISHA JAMII,KITABU CHAKE SI CHA KUKOSA KABISA UTAKUWA UMEKOSA KITU MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YAKO.PATA COPY YAKO SASA.

1 comment:

Anonymous said...

poa ,safi hicho kitabu..pia tunawakaribisha kwenye blog yetu ya celebrities..inayoitwa...starsbongo.blogspot.com, hii ina wadada maarufu wote wa kibongo ughaibuni na bongo yenyewe.