Friday, August 15, 2008

ALL THE BEST GIRL FLAVIANA MATATA!

Guy smile mrembo!
MREMBO/MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA UYO AMEANZA KUONYESHA CHECHE ZAKE AFRIKA KUSINI,KUFUATIA MKATABA WAKE WA ICE MODELS YA NCHINI UMO.KWA MUJIBU WA MKURUGENZAI WAKE MARIA SARUNGI AMBAYE NDIYE ANAYESIMAMIA MKATABA HUO.28 MWEZI ULIOPITA ALIPANDA JUKWAANI KWA MARA YAKE YA KWANZA NA AMEKUWA KIVUTIA SANA.SPEED IYOIYO FALAVIANA NA UTAFIKIA MALENGO YAKO.BLOG HII YA MAJAMBOZI NA WAUKWELI WABONGO NA WAAFRIKA KWA UJUMLA! WE LOVE YOU, FLAVIANA KEEP UP THE GOOD JOB!1 comment:

Anonymous said...

kip ur head up flavie i luv u so much n the things u do 2.
kaza buti ma dear pray 2 God and he gonna show u the way