Saturday, August 16, 2008

KARIBU ZAIDI 3BORA MISS TZ 2008.

KUNA MDAU WANGU AMENIOMBA NIMUWEKEE KWA KARIBU 3BORA YA MISS VODACOM TZ 2008,KUTOKA KUSHOTO NI SYLVIA MASHUDA MSHINDI WA 2 KATIKATI NDIYE MISS TZ NASREEM KARIM NA PENDO LAIZER MSHINDI NAMBA 3 2008.
BADO UNASAFARI NDEFU SANA BIBIE LETE USHINDI NYUMBANI.ALL THE BEST!!.


No comments: