Saturday, August 2, 2008

MWANZA,MWANZA! NA HUYU NI NASREEM KARIM!!

Ni mwanza mwanza baibieeeee,Nasreem Karim.Uko juu!
3bora na mshindi wa miss vodacom 2008.
Na hiyo ni 5 bora ya miss vodacom tz 2008!
Hiyo ndio kumi bora miss Vodacom 2008!
MWANZA!MWANZA,GRAND VITARA YA SHS MILIONI 42, KWENDA MWANZA AKIWA NA SMILE KALI SANA SI MWINGINE BALI NI ..NASREEM KARIM.HAYA SASA MWAKA HUU NI MABADILIKO KWA KWENDA MBELE.SASA KILICHOBAKI NI KUMUOMBEA AWEZE KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA UKO ANAKOENDA KUSHINDANIA TAJI LA MREMBO WA DUNIA.MUNGU AKUBARIKI.
KWA NIABA YA WADAU WOTE WA BLOG HII YA FASHION AND STYLE TUNAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MISS DUNIANI.
NI NASREEM KARIM,NASREEM KARIM,NASREEM KARIM KUTOKA MWANZA.No comments: