Saturday, August 30, 2008

NANI ZAIDI KATI YA HAWA WAREMBO????!


IRENE UWOYA

LISA JENSEN
JOKETE MWIGELO
LEO TUNAO WAREMBO WALIOITIKISA DAR KM SI TZ KWA UJUMLA YAANI NAWAZUNGUMZIA HAO WAREMBO HAPO JUU.UKIWA KAMA MDAU MKUBWA KATIKA HII BLOG YA MAJAMBOZI NA WAUKWELI MTOLEE COMMENTS NYINGI SANA ZA KUTOSHA MREMBO UNAYE MUONA ANAMVUTO WA KILA KITU,YAANI AKIVAA LAZIMA ATOKE KI UKWELI NA AKIPIGA PIC LAZIMA UZIKUBALI.KAZI KWAKO.

NB.ZOEZI HILI LINAENDELEA KUWASAKA NA WAREMBO WENGINE,KAA MKAO WA KULA. MWISHO WA KUWAPIGIA KURA NI WK HII,NA WEEK IJAYO WANAKUJA WENGINE KAZI KWAKO.


18 comments:

Anonymous said...

Irine ndio kiboko wa wote hapo.check mapozi yake hadi raha.wengine hakuna kitu kabisa.

Anonymous said...

wewe dada upo bomba ilembayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

JOKETI ZAIDI.

Anonymous said...

WOTE WAKO BOMBA ILA LISA YUKO POA SANA

Anonymous said...

Irine zaidi anamvuto kuliko mwenzake.

Anonymous said...

Joketi,Jokate

Anonymous said...

Lisa yuko juu zaidi she is beuty by nature couse hao wengine they cant shine without make up.BUT Look the lady she is having the star.

PASSION4FASHION.TZ said...

Mimi navutiwa sana na Jokate nafikiri pia hakana maskendo,nazani ni binti anaejiheshimu sijui lakini ila nampenda sana huyo binti sijasikia kashfa kwake..... mmmmwaa!

Anonymous said...

jokate mzuri huyo irene amekaaa kikahaba

Josephath said...

Jokate zaidi

Anonymous said...

jakote..... umetulia,
Uzuri jaman si sura tuu hata skendo zinashusha uzuri.
Jakote so cute.

Dina said...

Jokate bomba zaidi.Akivaa nguo inamtoa poa,havai nguo fupi sana,anajiheshimu ingawaje kila binadamu ana upungufu wake.
Ila kwa hawa ulio waweka ni Jokate zaidi.
Usibadilike Jokate.

Anonymous said...

Jokate zaidi,Hana maskendo machafu.

Anonymous said...

Jokate zaidi

MSHAMBA said...

JOKATE

Anonymous said...

me simpendi jokate amezidi kujishaua sana, ni kazuri kwa kiasi chake ila anapenda sana umaarufu na maisha yasio yakwake ila irene ni kiboko kuliko wote. Ana sura, shepĆ¼ na mvuto ila ni...........ya sana.

WAUKWELI said...

JAMANI WADAU ASANTENI SANA KWA KUPIGA KURA,JUMLA YA KURA ZOTE ZILIZOPIGWA NI 16

KURA MOJA IMEHARIBIKA KAMA MNAVYOONA HAPO JUU.

WASHIRIKI NI

1.IRENE UWOYA KURA 3
2.LISA JENSEN KURA 2
3.JOKATE MWIGELO KURA 10

KWENYE KUNDI HILI LA KWANZA MSHINDI NI JOKATE MWIGELO AMEWATUPA WENZAKE KWA KURA NYINGI SANA.EBU CHECK UJIONEE MWENYEWE.

JOKATE ANASUBIRI ASHINDANISHWE NA WAREMBO WENZAKE KATIKA KUNDI LA MWISHO. NA MAKUNDI YATAKUWA MATANO TU. KUNDI LA KWANZA NDIO HILO LIMESHAPATA MSHINDI WAKE NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUMPATA MREMBO ANAYEVAA NGUO ZINANOENDA NA FASHIONS ZA UKWELI KWA WAKATI HUO,ANAMVUTO KUPITA WENZAKE,FASHIONS ZIKIINGIA HUWA HAKOSI NA AKIVAA ANALIPUKA ILE MBAYA.
KAZI KWENU WADAU.

mosses said...

ee bwana niaje mzazi da nimekumiss ile mbaya sasa hebu tembelea www.mwafrika.blogspot.com its me mosses realafrican you remember when we are new horizon