Sunday, August 31, 2008

RAMADHANI NJEMA!NAWATAKIENI WADAU WANGU WOTE MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI,MUNGU AWAONGOZE KWA KILA MTAKALO LIFANYA KWENYE MWEZI HUU MTUKUFU.AMANI NA UPENDO VITAWALE NDANI YA ROHO ZETU.

6 comments:

Anonymous said...

Asante sana waukweli.

Anonymous said...

Mhhh waukweli kumbe unajua kujifunga hivyo?haya ss kanyaga twende.umetoka

Anonymous said...

Umetoka kwa-kwelikweli!!!

mumyhery said...

Yaani waukweli hata ukivaa hijabu mwake, umependeza mwanawane.
Ramadhani Njema na kwako pia

Matty said...

mfungo mwema na wewe ma dear ...leo mimi natoka kwa mwaliko wa futari tu!

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

Ramadhani Kareem dear!