Friday, September 5, 2008

MFANANO AU?

Top 5 ya miss tz 2008
Kuna mdau amenitumia hizi picture nifananishe gauni alilovaa Queen David miss tmk mwaka jana na gauni alilovaa Anjera Lubala apo juu no 26 miss tz top 5 mwaka huu Je linafanana au mwazimo wa muda?
Kazi kwenu wadau wa mitindo na fashions za Ukweli.

3 comments:

Anonymous said...

Sasa nani kamuanzaima mwezie?Duu hii kali ya mwaka,Na ww Anjela kwa nini umerudia gauni la Queen?

Anonymous said...

Huo ni mwazimo si unaona mwenyee.Queen kamuazima Anjera.

Anonymous said...

Niliona ila nikasema kukosa madesigner wa kukupa nguo ndio unaambulia second hand anyway wote walifika 5 bora au sio next!!