Friday, September 5, 2008

FASHIONS ZINAZOKWENDA NA WAKATI.!JAMANI WAKINA DADA WA KIBONGO NA MIKOANI KWA UJUMLA MPO? UKIWA NA MTOKO WA USIKU AU HARUSI/SEND OFF AU PART YOYOTE YA NITE BASI LIPUKA KAMA APO JUU YAANI UTATOKA BOMBA ILE MBAYA. NI FASHION YA KISASA INAYOKWENDA NA WAKATI. SISEMI SANA ILA JARIBU UONE.NA USIKOSE KUNITUMIA PICHA YAKO YOYOTE ULIYOTOKA BOMBA.TUMIA EMAIL ZANGU HIZI cool_matilda@yahoo.com,matijay@hotmail.com.
1 comment:

MARIAM said...

Nikweli hizo zaenda na wakati.Poa waukweli tutakutumia usijali.