Sunday, September 7, 2008

JOKATE JOKATE NA MVUTO ZAIDI.

JAMANI WADAU ASANTENI SANA KWA KUPIGA KURA,JUMLA YA KURA ZOTE ZILIZOPIGWA NI 16
KURA MOJA IMEHARIBIKA .WASHIRIKI NI
1.IRENE UWOYA KURA 3
2.LISA JENSEN KURA 2
3.JOKATE MWEGELO KURA 10
KWENYE KUNDI HILI LA KWANZA MSHINDI NI JOKATE MWEGELO AMEWATUPA WENZAKE KWA KURA NYINGI SANA.EBU CHECK UJIONEE MWENYEWE.JOKATE ANASUBIRI ASHINDANISHWE NA WAREMBO WENZAKE KATIKA KUNDI LA MWISHO. NA MAKUNDI YATAKUWA MATANO TU. KUNDI LA KWANZA NDIO HILO LIMESHAPATA MSHINDI WAKE NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUMPATA MREMBO ANAYEVAA PAMBA ZINANOENDA NA FASHIONS ZA UKWELI KWA WAKATI HUO,ANAMVUTO KUPITA WENZAKE,FASHIONS ZIKIINGIA HUWA HAKOSI NA AKIVAA ANALIPUKA ILE MBAYA.KAZI KWENU WADAU.
JOKATE NDIYE FASHIONS WANGU ANAYEKWENDA NA WAKATI YUKO JUUU KAMA MNAVYOMUONA ANAMUONEKANO BOMBA KULIKO LISA NA IRENE KWA MUJIBU WA KURA ZENU WADAU.
JOKATE JUU KUNDI LA KWANZA.

1 comment:

Anonymous said...

Binti ametulia mwacheni ashinde jamani.