Sunday, September 7, 2008

NANI ZAIDI KATI YA HAWA WAREMBO?


Nancy Sumari


Wema Sepetu
Richa Adhia
HAYA SASA MDAU WA FASHIONS NA WAUKWELI,KAZI INAENDELEA,MPIGIE KURA YULE UNAYEMUONA ANAFAA KULIKO WENZAKE HAPO JUU,ANAYEPATA KURA NYINGI NDIYE ATAKUWA MSHINDI KATIKA KUNDI HILI LA PILI,LA KWANZA TAYARI LIMESHA MPATA MSHINDI WAKE NAE NI JOKATE MWEGELO NDIYE ALIYEIBUKA KIDEDEA.MPIGIE KURA NYINGI YULE UNAYEMUONA ANAKUVUTIA KADRI UWEZAVYO.KURA INACHUKUA WK NZIMA KUANZIA LEO MPK WK IJAYO.KAZI KWAKO.

14 comments:

Anonymous said...

Nancy kiboko bwana acheni mchezo

Anonymous said...

sumari jamani... soooooo cute hayo macho jamani... halafu utadhani kimdoli vile.

Anonymous said...

Wema she is a cute girl

Anonymous said...

Wema zaidi,ni mzuri ila kuna pindi fulani ivi alikuwa ana skendo za ma bwana zake,ila ni mzuri.

Anonymous said...

Nancy sumari zaidi

Anonymous said...

nancy kafunika bovu kwanza hajajifoji waukweli hamna urembo wadukani ful kuzaliwa nao nimemkubaliii

Anonymous said...

Nancy yuko bomba zaidi

Anonymous said...

Richa bwana acheni ubaguzi

Anonymous said...

Nancy zaidi

Anonymous said...

Nancy zaidi ya warembo hao.

Anonymous said...

Nancy,Nancy,Nancy.

Anonymous said...

wema

Anonymous said...

Nancy jamani

by waukweli said...

COMMITE NIMEPOKEA 13 NA 3 ZIMEHARIBIKA KWA SABABU WAMETUPA SIO PENYEWE.
WASHIRIKI WETU NI
1.NANCY SUMARI KURA 9
2.WEMA SEPETU KURA 3
3.RICHA ADHIA KURA 1
KAMA MNAVYOONA WENYEWE JINSI MLIVYOPIGA KURA.
NANCY SUMARI KAWATUPA WENZIE MBALI SANA.HAYA SASA ROUND YA PILI TUMEPATA MREMBO ANAYEPIGA FASHONS ZA UKWELI SI MWINGINE NI NANCY SUMARI.
WADAU ASANTENI SANA NAOMBA TUENDELEE NA MAKAMUZI YA KUPIGA KURA KWA WANAOENDELEA.