Tuesday, September 9, 2008

MPIGIE KURA YULE UNAYEMUONA ANAFAA!.

WADAU MPIGIE KURA YULE UNAYE MUONA ANAFAA.PIGA KURA NYINGI KADRI UWEZAVYO ILI HUYO MREMBO AIBUKE KIDEDEA,KUMBUKA KWAMBA KURA YAKO WEWE ITAMFANYA ASHINDE.KAZI KWAKO.

3 comments:

Anonymous said...

anayefaa ni Nacy Sumary

Anonymous said...

ANAYEFA NI NACY SUMMARY

Anonymous said...

Nancy jamani msichana ni mzuri utapenda uendelee kumuona halafu si wa mapozi