Wednesday, September 10, 2008

KA MODO KANGU MIAKA 10 IJAYO

Anaitwa Nancy anapenda sana kutembea ki miss achezapo na wenzie nahisi atakuwa ka modo,Anapenda kuangalia picture za Ma miss,Anaishi Zenji,Anapenda kuwapa hey marafiki zake NASRA,HANS,KELVIN na MERCHEDES wakiwa Zenji na Dar es salaam.Ndoto zake ni kuwa MISS DUNIA.All the best Nancy.

3 comments:

Anonymous said...

hi
kisister doo kinaonekana kitafuata mwenendo wa mother ake nini kama sijakosea

au mama yake alikuwa miss?

lakini kiko bomba lakini kiangalie machalii siku hizi hawadanganyifu maana kiko preeeeeeeeeetty

Mama Nancy said...

hey my lovely baby Nancy, nakuombea kwa Mungu ndoto zako zitimie...all the best as long as nyota njema huonekana mapema!Kila la heri mwanangu Kipenzi!

Anonymous said...

All the best nancy