Saturday, September 13, 2008

OMBI KWA WADAU.

HAYA SASA WADAU MLIONIOMBA FASHIONS MBALIMBALI ZA HARUSI NA WATOTO WA MBELE HAO HAPO JUU KAZI KWENU MKA DISIGNER MWENDE MKAPENDEZE KWENYE WEDDING YENU.MUNGU AWABARIKI SANA.


1 comment:

Annamaria said...

kweli wewe ni wa ukweli kwani hata vitu vyako ni vya ukweli...
nimependa sana hato mambo ya harusini, ndoa yangu iko mbioni, vitu kama hivyo vinatusaidia watu kama mimi, ukipata vingine wewe tuwekee tuone. kazi njema.