Sunday, September 14, 2008

NANCY!NANCY! NANCY MVUTO ZAIDI.
NANCY SUMARI NDIE MREMBO WANGU MWENYE MVUTO KULIKO WEMA NA RICHA KWA MUJIBU WA KURA ZENU MLIZOPIGA WADAU.ASANTENI SANA KWA USHIRIKIANO WENU NAOMBENI TUENDELEE KUWAPIGIA KURA WAREMBO WENGINE WALIO BAKIA.

1 comment: