Sunday, September 14, 2008

NANI ZAIDI KATI YA HAWA?

K-LYINN

VICTOR MARTIN

KAZI KWAKO MDAU,MCHANGUE UNAEMUONA ANAFAA KULIKO WENZAKE NA UMPIGIE KURA KADRI UWEZAVYO,MWISHO WA SIKU ANAIBUKA KIDEDEA.
WEEK IJAYO NDIO UTAONA NANI MSHINDI BAADA YA KUMPATA BIBIE NANCY SUMARI KWA KUPATA KURA NYINGI NA KUWABWAGA WEZAKE WEMA NA RICHA.
PIGA KURA SASA.18 comments:

Anonymous said...

of course victoria martin. who else. yeye hajafika majuu tu anang'ara je akifika?!!! mtakoma!!!

Anonymous said...

k-lyinn zaidi

Anonymous said...

Zaidi ni K-lyinn ni anamvuto anajua kujiremba sana.anapiga pamba za kutosha.

Anonymous said...

K-lyinn she is a cute kwa kweli.

wenda said...

Rashida bomba sana.

Anonymous said...

Zaidi ni K-lyinn

Anonymous said...

k-lyinn

Anonymous said...

K-lyinn

Anonymous said...

k-lyinn

Anonymous said...

Victoria

Anonymous said...

K-lynn the girl is so sexy, I admire her and for sure she is cool.

Anonymous said...

k-lyinn

Anonymous said...

K-LYINN ni mzuri na anavutia acheni masihara.

Anonymous said...

of cours k-lyinn is the best

Anonymous said...

k-lyinn

jacky

Anonymous said...

k-lyinn

Anonymous said...

k-lyinn

by waukweli said...

HAYA SASA WADAU WAREMBO WETU WANAZIDI KUTOA JASHO,
KURA ZIMEPIGWA 17

NA WASHIRIKI WETU NI
1.K-LYINN NTUYABALIWE. KURA 14
2.VICTORIA MARTIN KURA 2
3. RASHIDA WANJARA KURA 1

ASANTENI SANA KWA KUPIGA KURA ZENU WADAU WANGU NA MSHINDI WETU NI K-LYINN.ENDELEENI KUMPIGIA KURA YULE UNAYE MUONA ANAFAA PIGA KURA KADRI UWEZAVYO.
NI K-LYINN NA MVUTO ZAIDI.