Monday, September 29, 2008

NANI ZAIDI KATI YA HAWA WAREMBO??.

NARGIS MOHAMED
NATALIA NOEL.

HAYA SASA ROUND HII NI YA 5 NA YA MWISHO KAMA NILIVYOSEMA APO AWALI.UNACHOTAKIWA WEWE NI KUMPIGIA KURA YULE UNAYEMUONA ANAFAA KAMA ULIVYOWAFANYIA WALIMBWENDE WALIOPITA.NA LEO NINAO WAREMBO HAPO JUU KAZI KWAKO.PIGA KURA KADRI UWEZAVYO.KUMBUKA KURA YAKO WEWE NDIO ITAMFANYA MREMBO ASHINDE KWA KISHINDO.

18 comments:

Anonymous said...

Jamani kusema ule ukweli, Natalia anatisha.

Anonymous said...

NARGIS MZURI ILA VICHUNUSI MWEEEEEEEEEEE.

Anonymous said...

Natalia ingawa sijamsikia sana anachofanya wka jamii anyway

Anonymous said...

Fancy

Anonymous said...

Wote wazuri na warembo,Kwa kuvaa nguo ikamshika na kupendeza zaidi ni Fancy anapendezaga huyu.

Mama Nancy said...

Fancy juu zaidi

Anonymous said...

fancy ni gorgeous

Anonymous said...

Fancy bwana alafu huyu mrembo sijawai kusikia skendo yake yoyote kwenye magazeti tz.

AUNT LULU said...

NATALI,NARGIS,FANCY MMMHH.
ZAIDI MMMMMMMMMMMMM FANCY.

Anonymous said...

Fancy akivaa anapendeza sana,mimi nimeshakutana nae mitaa ya mzalendo pub.

Mkole

Anonymous said...

FANCY YUKO BOMBA NILISHAMUONAGA TUMAIN CHUO.

Anonymous said...

FANCY YUKO BOMBA NILISHAMUONAGA TUMAIN CHUO.

Jacky said...

FANCY

Anonymous said...

nargisssssssss

Anonymous said...

fancy nampenda sana.

Anonymous said...

FANCY JAMANI AKIVAA ANAPENDEZA SANA,NILIMCHEKI KWENYE MISS TZ 2007 KIBOKO.

Anonymous said...

NAMUONAGA MAENEO YA MNAZI MMOJA HUYU FANCY ANAPENDEZAGA.

by waukweli said...

HAYA SASA WAPENDWA WADAU,MCHUANO KAMA MNAVYOUONA,NI NYIE MLIOPIGA KURA NA KURA ZENU KAMA ZINAVYOONEKANA HAPO JUU. MSHINDI NI FANCY KWA ROUND HII YA 5 NA YA MWISHO.

ASANTENI SANA KWA USHIRIKIANO WENU.