Monday, September 29, 2008

TANGAZO KWENU WADAU.

HII ROUND NI YA MWISHO KWA MWAKA HUU NA KWA WAREMBO HAO HAPO CHINI,MNACHOTAKIWA NI KUPIGA KURA KWA WINGI KADRI UWEZAVYO ILI APATIKANE MREMBO WA ROUND YA 5 NA YA MWISHO.
NA NITAKACHOFANYA NI KUWACHUKUA WASHINDI KILA ROUND MMOJA ILI NIPATE KUWASHINDANISHA NA ATIMAYE APATIKANE MREMBO MMOJA AMBAYE ANATAKIWA AWE BALOZI WA BLOG HII YA WAUKWELI. NA ATAJINYAKULIA ZAWADI KEMKEM KUTOKA KWA WAUKWELI.
UNACHOTAKIWA WW MDAU MPIGE KURA YULE UNAYEMUONA ANAFAA NAMI BILA HIANA NITA MTANGAZA MSHINDI KADRI KURA ZINAVYOSEMA.PIGA SASA USIJE UKAJILAUMU.

No comments: