Friday, October 17, 2008

POCHI ZA WEDDING & SEND OFF.WADAU WOTE NA MA BIBI HARUSI WATARAJIWA KUNA KITU NIMEGUNDUA KATIKA KITCHEN PARTY,SEND OFF NA HARUSI.MATRONI WENGI SANA HUWA WANAJISAHAU KUBEBA HANDBAG.MATRON ANAWEZA AKAJIULIZA NI BEBE HANDBAG NABEBA YA NN SS? KWENYE HANDBAG UNATAKIWA UBEBE ILI UWEKE LIPSTICK,LIPSHINE NA KITAMBAA CHA JASHO.PALE MNAPOMALIZA KULA LAZIMA MJIPAKE LIPSTICK COZ INAKUWA IMEFUTIKA,NA MATRON WENGI SANA WANAJISAHAU KUWAFUTA MA BIBI HARUSI ATA SIJUI NI KWA NN.MA TRON TUSIJISAHAU.
NB.ILA HANDBAG KIWE KIDOGODOGO NA CHA USIKU NA PIA KIWE KINAENDANA NA MAVAZI YENU.ONA MFANO HAPO JUU.

1 comment:

Anonymous said...

Waukweli ni kweli hatubebagi pochi na tunajisahau sana.
Asante kwa kutukumbusha.
Naipenda sana blog yako.