Monday, October 20, 2008

ASANTE MDAU


ASANTE SANA MDAU KWA KUNITUMIA HIZI PIC,HAYA KAMA TULIVYOONA HAPO JUU NI MAMBO YA KUPENDEZA ZAIDI NA WEDDING NA WATU SIKU IZI WANAPENDA KUSHONESHA NGUO ZAO WENYEWE NA SIO KAMA ZAMANI TUNAKODISHA.HAYA YOTE SAWA ILIMRADI SIKU HIYO UMEREMETE ZAIDI NA ZAIDI SI MNAJUA HUWA HAIJIRUDII HIYO SIKU LABDA MMOJA AFARIKI DUNIA KWA NDOA ZA KIKRISTO LAKINI ZA WENZETU MIMI NI MGENI HATA SIJUI.


No comments: