Wednesday, October 22, 2008

HATIMAYE CHOMBEZA TIME [KWA MAHABA MOTO NA MESEJI KALI ZA MAPENZI] YAINGIA MTAANI

BRAZATK AIBUKA NA KUSEMA:-
wadau kwanza niombe samahani kwa kuchelewesha kitabu hiki kuingia sokoni, lakini hii ilikuwa nje ya uwezo wangu kutokana na sababu kadha wa kadha na kama unakumbuka vizuri muonekanao wake wa awali haukuwa huu.


Hivyo basi katika kuhakikisha nawapa wadau wangu kilicho bora zaidi nililazimika kulekebisha baadhi ya mambo na mpangilio mzima wa kitabu hiki ili nikutendee haki wewe utakayetoa Tsh 1500/- kupata nakala hii!
Ewe mdau wangu wa masuala ya mapenzi, uhusiano, ndoa,marafiki na wachumba, nakuomba jongea kwenye meza za wauza magazeti ulizia Kitabu hiki Chombeza Time upate utamu,utamu hasa kwani kitabu hiki hakitakuisha hamu kutokana na mashamsham na mambo matamu yasiyomwisha mtu hamu!
GEt ur copy now!
Wakazi wa Dar mtanisamehe niko katika maongeze ya mwisho na mawakala hivyo nategemea Kuanzia Ijumaa kitakuwa mtaani kwa Dar na mikoani nendeni kwa wauza magazeti mtakipata!
Endapo kuna swali au ugumu wowote wakupata nakala hii basi usisite kuwasiliana na mzee wa malavedave brazatk kwa no. 0715 888887.

USIKOSE NAKALA YA KITABU HIKI KWANI KINA MAMBO MENGI ADIMU! NA ZAIDI YA YOTE KINATHIBITISHA UKALI WA tk ENYE KUTUNGA MISTARI YA HATARI! BILA SAHKA WENGI MNAMKUMBUKA AKIWA GLOBAL PUBLISHERS ALIVYOKUWA AKISABABISHA, ILIKUWA NI SOOO TUPU! NAJUA WAPENZI WAKUBLOG MNAJUA MAMBO YAKE PIA KUPITIA BLOG YAKE www.mwakilaga.blogspot.com.
Mpe taarifa rafiki yako kuhusu CHOMBEZA TIME

JAMANI MSIKOSE NAKALA YA CHOMBEZA TIME!!!!!!!!!

No comments: