Tuesday, October 28, 2008

MSAADA KWENYE TUTA.

MWANADAMU ALIYEKAMILIKA LAZIMA KIPINDI FULANI UTATAKIWA UWE NA MWENZA,NA MAHUSIANO LAZIMA UWE NA KAULI NZURI NA TAMU ILI UWEZE KUMPA MWENZA WAKO FARAJA LA PENDO LAKO KWAKE HAIJALISHI MWANAUME AU MWANAMKE KWA HIYO BASI HUYO MNAYEMUONA ANAITWA BRAZA TK AMBAYE YY KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE AMEAMUA KUKAA CHINI NA KUKIANDIKA KITABU CHAKE KINACHOITWA CHOMBEZA TIME HUYU KIJANA NI MKALI SANA WA KUTUNGA SMS ZA MAPENZI KAMA VP USIKOSE COPY UKAJA JUTIA, NA USISITE KUMTEMBELEA www.mwakilaga.blogsport.com MZEE WA MALAVEDAVE.

1 comment:

Anonymous said...

naona unauza sura kaka!