Tuesday, October 28, 2008

MAGAUNI YA HARUSI.HAYA SS WALE WOTE WANAOTARAJIA KUFAFUNGA PINGU ZA MAISHA HIVI KARIBUNI MISHONO NDIO HIYO PENDEZA SASA.WAPI KOKU BIBI HARUSI MTARAJIWA MIMI KM MM WAUKWELI NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA MAMBO YAKO YAENDE KAMA ULIVYOPANGA.NAAMINI MUNGU ATAKUSAIDIA.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

maguni mazuri kweli kweli bahati mbaya nimeshafunga ndoa. kazi nzuri sana. Hivyo hivyo