Wednesday, October 29, 2008

WADAU

WAZIMA NYIE WADAU WANGU WAPENDWA? KUNA YOYOTE ANATAKA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA HIVI KARIBUNI?USISITE KUWASILIANA NAMI KWENYE NAMBA HIYO HAPO JUU,NTAKUPA MAWAZO,USHAURI NA HATA KUKUBUNIA GAUNI LAKO LA HARUSI,VIATU NA HATA NYWELE.TWENDE KAZI.

No comments: