Sunday, November 16, 2008

CHOMBEZA TIME KIZURI JAMANI.

Kitabu kizuri jamani lazima nikimalize kusoma wk end hii.


NIKO BIZEEE WK END HII NA KITABU CHA BRAZA TK,KINA SMS KALI ZA MAPENZI TAKRIBAN 1000,KUNA MAMBO YANAYOWAPAGAWISHA WANAUME,JINSI UNAVYOWEZA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO,JINSI YA KUPATA RAHA YA MPENZI WAKO NA N.K. KAMA ME MUONGO PATA COPY YAKO UJIONEE MWENYEWE.HUTOJUTIA KUNUNUA HIKI KITABU CHA CHOMBEZA TIMEEEEEEE.


3 comments:

Anonymous said...

hehheeee heeee matty hujatoga masikio..... u mzuri though!

Anonymous said...

MBONA UKU ZENJI SIJAKIONA?MNATUNYIMA UHONDO.

Anonymous said...

jamani waukweli bado tu hujamaliza hicho kitabu