Saturday, November 15, 2008

KILA LA KHERI MISS TZ WETU 2008.

Bendera alikabidhiwa na Mh Laurence Masha ndiye aliyekuwa mgeni rasmi wakati anaagwa Miss wetu,Anaenda kuiwakilisha nchi yetu uko Africa Kusini.Mimi na wadau wa Waukweli tunaamini Nasreem Karim unaweza kwani wengine waweze wananini na ww ushindwe unanini?,Jiamini kwa kila unalolifanya na utaweza mtangulize Mungu mbele kwa kila ki2.

1 comment:

Anonymous said...

mungu akubariki sana mpz nakuombea kila la heri by IRENE