Saturday, December 6, 2008

KICHEN PARTY YA SHOSTISTO JOYCE KIRIA.


KICHEN PARTY YA JOYCE NDIVYO ALIVYOTOKA NA FASHIONS YAKE YA NGUO KAMA MNAVYOIONA HAPO JUU AKIWA NA MPAMBE WAKE YVONE CHERRY WENGI WANAMJUA MONALISA, NI MUIGIZAJI MAHIRI WA FILAMU HAPA TZ,BI HARUSI MTARAJIWA KIUKWELI UMEPENDEZA SANA.MUNGU AKUBARIKI KATIKA NDOA YAKO UNAYOITARAJIA KUFUNGA HIVI KARIBUNI.WAUKWLI NA WADAU WAKO WA BONGO MOVIES WANAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA.MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO.

1 comment:

mumyhery said...

imependeza mno, kila la kheri bi mtarajiwa