Wednesday, December 10, 2008

TOLEO JIPYA LA CHOMBEZA TIME SAFARI HII NI MESEJI ZA KUFA MTU ZA MAPENZI PEKEE] KUINGIA MITAANI HIVI PUNDE KWA TSH 1500/- KAA MKAO WA KULA!

Brazatk ANAWASHUKURU WALE WOTE WALIOTOA TSH 1500/- ZAO KUNUNUA JARIDA LAKE LA CHOMBEZA TIME LILILOKO MITAANI HIVI SASA, HATA HIVYO, KAMA HUJAPATA NAKALA YAKO WAHI SASA KWENYE MEZA ZA WAUZA MAGAZAETI!
NDUGU ZANGU WAPENDWA KWA HAKIKA HAKUNA ASIYEPENDA KUTUMIWA MESEJI NZURI ZENYE KUAMSHA HAMASA YA MAPENZI, KAMA SI MUWASHAWASHA WA MAPENZI NA KUMFANYA YOYOTE AISOMAJE AHISI KWELI ANAPENDWA, BASI KWA KUTAMBUA HILO, BRAZA TK KWA MARA NYINGINE TENA ANADONDOSHA JIWE JIPYA MTAANI LAKINI SAFARI HII, CHOMBEZA TIME LINAKUJA KIVINGINE LIKIWA LIMESHEHENI MESEJI KALI ZA MAPENZI AMBAZO ZITAKUWA KWA LUGHA YA KIENGEREZA NA KISWAHILI ILI KUWAWEZESHA WASOMAJI WANAOPENDELEA LUGHA MOJAWAPO KATI YA HIZO MBILI KUPATA KITU ROHO INAPENDA!
NB: KATIKA JARIDA HILI brazatk ANASEMA KUWA, NUSU YA MSG KATIKA JARIDA HILO ZITAKUWA ZA KISWAHILI NA NUSU ZA KIINGILISHI WAJAMENI NA KWA WALE WATAKAOPENDA ZA KIMOMBO LAKINI WAKASHINDWA KUJUA MAANA BASI WATAPEWA UPENDELEO WA KUULIZA NA KUELEZWA MSG HIYO INAMAANISHA NINI!
KAMA UNA MAONI AU USHAURI WOWOTE KUHUSIANA NA UJIO WA JARIDA HILI UNAWEZA KUWASILIANA NA brazatk kwa simu no. +255 715 888 887 AU brazatk@yahoo.com au kumtembelea kwenye blog yake www.mwakilaga.blogspot.com

No comments: