Sunday, January 25, 2009

RIHANNA UHAIR FASHIONS




Rihannah ni binti mdogo ila ni machachari sana awapo mzigoni,Anapotoka ndani ya chumba chake anahakikisha ametoka sex na uair wake amefunika jicho moja.Huyu mwanadafada namkubali sana.Ebu checky pic zake hapo juu.Nawaona wakina dada wa kibongo wanajitahidi nao kufunika kijicho kimoja na uhair ili mradi tu kupendeza.BIG UP RIHANNA.

3 comments:

Anonymous said...

jamani hii rangi naipenda sana hebu nisaidieni inaitwaje??today u made ma day with this colour!

Anonymous said...

Dada Matijay,
Samahani, nadhani hapo juu ulimaanisha neno 'sexy'.
-Msomaji wako!

Anonymous said...

Matilda, Rihanna hafichi jicho ila anaficha kikomo chake. Fwatilia hair styles zake na uliza kwa wataalamu wa mitindo ya nywele