Thursday, February 19, 2009

2DAY IS MY BIRTHDAY.

Leo ni birthday yangu wapendwa natimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwangu,Najitakia maisha marefu yenye Amani na Upendo.Nawashukuru sana wazazi wangu kwa kuniwezesha toka nazaliwa mpk nilipofikia hapa.Sina cha kuwalipa zaidi nawaombea kwa Mungu wawe na Afya njema wazidi kuishi maisha marefu.Nawapenda sn wazazi wngu.Mungu azidi kuni bariki nizidi kuwapenda daima.

14 comments:

Dada Kemmy said...

U look mwaaaaaaaaaah!!!!!!happy birthday to u though am late!!!!!!uishi miaka mingi!all the best

Eugenia said...

ooh happy bday sweetie,
wish u a long life.

FJ said...

happy bday doll... hope you get loads and loads of gifts.

PASSION4FASHION.TZ said...

Happy birthday luv,i wish u all the best & enjoy your day!
xxxxxxxxxx

Daniella said...

Happy Birthday WAUKWELI!!!

by waukweli said...

Thankx DadaKemmy,Eugenia,FJ,
Passion4fashiontz and Daniella.Nawapenda sana.

Shani said...

Happy Birthday WAUKWELI,Ur so hot hot babieeee.

Irene said...

Waukweli umependeza sana mamaaa.Happy Birthday my dia.Mungu akupe maisha marefu zaidi na zaidi.

EDWIN NDAKI said...

Hongera kwanza kwa kuwa na blog nzuri sana.hakika sasa nitakuwa njia yangu kila siku..


PILI na la muhimu zaidi..nakutakia kila lakheri katika kusherekea siku yako uliyozaliwa..

Maana ya kusherekea birthday ni kujipa moyo na kujipanga maana changamoto ndio zinaongezeka ktk maisha...

Kila la kheri Matty...happy birthday

mumyhery said...

Wishing you health, happines and love on your special day and always. Have a wonderful birthday

Dinah said...

Happy belated b'day.
Ulifanya nini unusual?

MAKULILO Jr, said...

Wa Ukweli mwenyewe,
Naomba nikutakie kuzaliwa kwema, kumbuka umri unakimbia, unaongezeka, majukumu yanaongezeka.Nakutakia mapambano mema ya changamoto za maisha.Uzishinde Wa Ukweli.

MAKULILO Jr,

Dada Kemmy said...

Edwin Ndaki mpaka huku unafika???mimi ndo Dada Kemmy/Matty wamwanzo hapo juu nadhani ushanipata!!!!!!

Anonymous said...

happi bithdai matilda
loe those smoking cures sister
good luck
kweliman
edmonton
canada