Thursday, February 19, 2009

USIKOSE NAKALA YAKO YA MAJARIDA HAYA....

KAMA WEWE NI MPENZI MA MABO FULANI YA MALAVEDAVE BILA SHAKA SI MGENI NA JARIDA LA CHOMBEZA TIME LINALOLETWA KWENU NA BRAZATK MZEE WA MALAVEDAVE ANAYESABABISHA NA www.mwakilaga.blogspot.com JAMAA ALIKUWA KIMYA KWA MUDA MREFU KWENYE BLOG YAKE NA SASA AMEEBUKA NA KUSEMA KILICHOMUWEKA BUSY SASA KUKIWEKA ADHARANI NACHO NI MAJARIDA HAYA MAWILI YANAYOTEGEMEWA KUINGIA SOKONI MAPEMA MWEZI WA TATU!

USIKOSE NAKALA YAKO JAMANI UPAJE JIFUNZA MAMBO MENGI KUTOKA KWA MWANAMAPENZI HUYU............
CHINI NI KITABU KITAKACHOSHEHENI MESEJI KALI ZA MAPENZI, KUKUPA DONDOO MUHIMU KUZINGATIA KABLA HUJAMNUNULIA ZAWADI UMPENDAYE NA KUKUPA MAANA MBALIMBALI ZA RANGI NA RANGI ZA MAUA MBALIMBALI TUNAYOWAPATIA WAPENZI WETU!

NDUGU MSOMAJI VITABU HIVI SI VYAKUKOSA, HUNA HAJA TENA YAKUMPA MWENZA WAKO EPO AU UA LA RANGI FULANI HUKU HUJUI MAANA YAKE, USIKOSE CHOMBEZA NDUGU YANGU, KUWA MJANJA ANDAAA PESA YAKO MAPEMAAAAA....

UNAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA NA BRAZATK KWA:-

eMAIL: brazatk@yahoo.com
Mobile: 0715 8 88 887

No comments: