Tuesday, February 17, 2009

EVENING SHOES







Ewe mdau nenda na wakati kwa kuvaa kiatu cha jionikilicho kwenda xul,mwana mke kupendeza bibieee,Tenanaaaaaaa.

2 comments:

Anonymous said...

yeah mwanamke kupendeneza sana tu nakubaliana na wewe dada yangu ila hicho kiatu cha pili dont u think kwa bongo hakifahi maana lilie joto ni balaa.

Anonymous said...

waaoooh! kiatu cha kwanza kimenivutia sana, but haujatuelekeza tunaweza tukavipata wapi kwa hapa bongo?
enjoy ya day.