Sunday, February 1, 2009

JAMANI VALENTINE HIYO YAJA UMEJIANDAAJE?

Jamani asikuambie m2 kupendwa kuna raha yake siku zote,Ila siku ya tarehe 14/2 kila mwaka usikubali kuachwa na mwenzako tena mwaka huu itakuwa siku ya jmosi na ni siku ya mapumziko na hata km utaenda kwa ofice utawahi kurudi,Usimuache mwenzako.Nawatakia maandalizi mema siku hiyo ya wapendanao.

3 comments:

Anonymous said...

Tumejiandaa vyema na wapenzi wetu vp ww waukweli??.

ray05 said...
This comment has been removed by the author.
REEN said...

Mhh naona ni siku nzuri ya kuwaonyesha kama si kuwadhihirishia wale tuwapendao ni kwa kiasi gani tunawapenda, tunawajali, tunawadhamini pia..iwe mama,baba,kaka,dada,jirani,rafiki,mpenzi,mume au mke, mchumba unaweza kusherekea na yoyote kati yao..

make your valentine feel special..

HAPPY VALENTINE'S DAY EVRY1