WADAU NINAYO FURAHA KUBWA KUWAJULISHA KUWA SALA ZENU KWA WAUKWELI ZIMESIKIKA NA SASA BINTI YUKO FITI BAADA YA KUFANYIWA OPERATION YA KICHWA KUTOA UVIMBE ULIOKUWA KICHWANI!
I HOPE SOON SHE WILL START BLOGING KAMA KAWAAAAAAAAAAAAAAAAA
HAVE A GUD TYME
BRAZATK
www.mwakilaga.blogspot.com
10 comments:
Ashukuriwe Mungu muweza wa yote kwa kumnusuru kipenzi chetu Waukweli. Tunaomba amrejeshee nguvu na amjalie afya yake izidi kuimarika.
Jamani Mungu ni mwema,nimepata furaha ya ajabu kusikia una nafuu,pole sana dada yetu!!Tuzidi kumuomba Mungu urudi mapema kwenye libeneke!! Pia asante kaka yetu kwa kutuhabarisha.Bwana asifiwe!
Eeee Mungu utusaidie,utuepushe na magonjwa na balaa zote za dunia. Nakuombea upone haraka ,pole sana kwa maumivu makali.Mungu awe pamoja nawe rafiki.
Tunazidi kumuombea Mungu apone upesi tuwe pamoja
Glory 2God!
Dis is a vry good news..tutakusubiria kwa hamu uendelee kublogisha..Allah akujaze nguvu na afya tele.
wishing you quick recovery.God blessed you Matilda!
so waht kama uko fit.....blog mnaanzisha, hamjui matumizi. Toka umekuwa fit umepost nini kwenye blog?
ifunge basi, waachieni akina michuzi,jd,zeze nk. wanaojua maana.
Mungu ni mwema!
Tunamshukuru Mungu, na tunazidi kumuombea apone kabisa, dada yetu
God Bless Her!arudi tena on air!!!
naomba pole yangu imfikie!!tupo pamoja naye
pass by laprincessaworld.blogspot.com
Post a Comment