Thursday, April 24, 2008

Visura,Je anaweza kupata zawadi?

Chaguo la Totoo.
Mimi sina ubishi na mtu jamani kila mtu anachagua akipendacho na akifikiriacho ndani ya nafsi yake na uwezo wake wa kuelewa,Totoo kama totoo akiwa mwanamitindo wa kimataifa anamkubali sana mmasai mwenzie coz anavigezo vyote vinavyotakiwa.Neshino Leizer Chaguo la totooo.

3 comments:

totoo said...

wangu..nilimpendekeza na emmy pia naona kashinda kweli..huyu mmsai mwenzangu yuko poa..ila anahitaji kufunzwaa haswaa km madoel wengine am sure aweza fika mbali..cz naona km kazubaa kidogo..ingawa sura+umbo la kiafrika anavyoo..ila hongera kwa hapo alipofika ni hatua kubwa hiyoo..tayari...na emmy hongera zakee sana kwa ushindi..

totoo said...

*mamodel

Waukweli said...

Totoo nakuaminia sana kuwa jaji wa visura kwa kuwatazama,ukiwa kama mwanamitindo mzoefu umepatia kuchagua ila amewahi Hellen ndio ata pata zawadi yake kutoka kwa Shamim.wape hey wote hapa,poa kima wangu 2taongea zaidi.