Sunday, May 11, 2008

Happy Mother's Day! I love u Mum!

My mum anavyoniambia jinsi alivyopata shida kwangu wakati anajifungua pale Muhimbili apati picha,Ila anamshukuru sana Mungu nimetoka salama.Pole mum na I love u so much,Sina chakukulipa zaidi ninachoweza kusema Thanks Godbless u.

4 comments:

Joyce said...

Kweli hunabudi kumshukuru mama,Na wengine wote ambao wamepata matatizo kuja huku duniani,Hakuna kama mama duniani kote.

Anonymous said...

Nimependa ujumbe wako.Hakuna kama mama.Sijaona wakufanana nae.

Mariam said...

Mama I love you.Waukweli upo juu.

mumyhery said...

ujumbe wako upo kwenye mwimbo wa sweet mother