Tuesday, November 4, 2008

BADO NIPO NA MA BIBI HARUSI WATARAJIWA.EWE BIBI HARUSI MTARAJIWA NAKUPA HONGERA SANA KWA KUAMUA KUOLEWA NA KWA KUAMUA KUPENDEZA SIKU HIYO,EBU ANGALIA FASHIONS YA KUSHIKA MAUA YA MBLE NA ANGALIA MAUA YENYEWE YALIVYO,SHOSTITO KUWA MJANJA TEMBELEA MADUKA MBALIMBALI YA MAUA UJICHUKULIE MAUA KAMA HAYO HAPO JUU UKAPENDEZE NA ANGALIA KUSHIKWA KWA HAYO MAUA SIO UNAJISHIKIA TU. UTAKUWA MPYA SIKU HIYO NA UTAPENDEZA SANA.KOKU NA WENGINE MPOOO???
No comments: