Wednesday, November 5, 2008

'CHANGE HAS COME TO AMERICA'.

Niko happy sana kwaajili ya Ushindi wa Obama. Waafrica 2ko juu,2natisha ile mbaya,Safi sana.


Barack Obama ni Rais Mteule wa Marekani!.Gavana wa Delaware Joe Biden, atakuwa makamu wa rais.Ataapiswha kuwa Rais siku ya Januari 20, 2009 huko Washington.GOD BLESS AMERICA! GOD BLESS THE NEW U.S. PRESIDENT BARACK OBAMA!.AMEN.

No comments: